Kusikiliza hadithi kunaleta utamu! Njoo, kaa nasi na usikilize hadithi ya Biblia katika Kisandawe! Unaweza kufungua na kusikiliza hapa hapa, au unaweza kupakua kwenye simu yako na kompyuta yako, tena bure, bila malipo. Utangulizi wa RutuRutu 1Rutu 2Rutu 3Rutu 4 Auto advance Tafadhali tuandikie maoni au maswali yako.